Menu
RSS

Matukio na picha

Hii ni zawadi yako mtumishi

 

Askofu wa Jimbo Katoliki la Mtwara, Mhashamu Titus Mdoe akipokea zawadi ya kuku kutoka kwa mwalimu wa kwaya Edga Sylvester Nyaluwa Parokia ya Bikira Maria aliyepaizwaMbinguni, Luaga la jimboni humo alipokwenda kutoa Sakramenti ya Kipaimara hivi karibuni. (PichanaYohanaKasosi)

 

Read more...

Mkuu wa Mkoa

Mkuu waMkoa wa Jiji la Dar es Salaam Sadiki Mecky Sadiki wa pili kutoka kushoto akibadilishana mawazo na baadhi ya viongozi wa wajasiliamali mara baadayakufungua maonesho ya wajasiliamali wa Nchi za Afrika Mashariki maarufu kwa jina la Jua kali katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini humo hivi karibuni.

Wahitimu

BaadhiyawahitimuwaShahada ya Udakitari katika Chuo  Kishiriki Cha Kairuki wakiapa kiapo Cha Taruma hiyo wakati wa Mahafari ya 13 katika viwanja vya Chuo hicho Jijini Dar es Salaam hivi karibuni.

Mapadri waandamana kuingia kanisani

Baadhi ya Mapadri wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam kutoka Parokia mbalimbali wakiwa kwenye maandamano kuingia katika viwanja vya Seminari ya Visiga kuanza Misa Takatifu ya Mwaka ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) jimboni humo. (Picha na Yohana Kasosi)

Read more...

Kardinali Pengo

 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo  akipokea  nembo ya Umoja wa  Marafiki wa Tumaini Media kutoka kwa Mwenyekiti wa baraza anzilishi la umoja huo   Peter  Sakia Macha  wakati wa wakati wa mkutano ulifanyika katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa parokia ya St. Peter Oysterbay hivi karibuni.  katikati ni Mkurugenzi wa Tumaini Media Padri Paul Haule. 

Read more...

siku ya wajane Duniani

Baadhi ya wajane walioshiriki katika maadhimisho ya siku ya wajane duniani iliyofanyika katika viwanja vya mnazi Mmoja  jijini Dar es salaam wakifuatilia jambo  kwa makini . hivi karibuni ( Picha na Charles Msabila)

Read more...

Baadhi ya wanahabari

Baadhi ya wanahabari walioshiriki katika Semina ya siku moja  Kuhusu  mpango kazi wa miaka mitano wa Haki za Binadamu 2013-2017, wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Tume hiyo Bahame Nyanduga,Semina hiyo ilifanyika katika makao makuu ya Tume Jijini Dar es salaam hivi karibuni .( Picha na Charles Msabila)

Read more...

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo  akipokea Picha ya nembo ya Umoja wa  Marafiki wa Tumaini Media kutoka kwa Mwenyekiti wa baraza anzilishi la umoja huo   Peter  Sakia Macha wakati wa mkutano ulifanyika katika ukumbi wa Kardinali Rugambwa parokia ya St. Peter Oysterbay hivi karibuni. (Picha na Revocatus Kopolo)

Read more...
Subscribe to this RSS feed
Tumaini Media

Radio-TV Tumaini, also trading as Tumaini Media, is legally registered in Tanzania under the Business Registration and Licensing Agency (Brela), No 116952. It is a registered Tax payer with TIN 100-251-094 and VRN 10-012753-P. Tumaini Media runs radio and TV stations, and a newspaper namely Radio Tumaini, Tumaini Television and Tumaini Letu, respectively. Tumaini Media seeks to serve the Tanzania community regardless of their colour. race. religion and tribe.

  Jesus is the Patron of our Station

We Now Covering 7 Regions

Coverage has been expanded to include seven out of 21 regions of Tanzania, thus: Tanga, Pwani, Morogoro, Zanzibar, Dar es Salaam and some areas of Dodoma, Kilimanjaro, Iringa and Mbeya Regions.